1 Bedrooms House/Apartment for sale at Kimara, Dar Es Salaam


:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO #200K
Location: KIMARA KOROGWE MAJI CHUMVI ROAD
Nyumba Ipo Upande Wa Kushoto Kutokea Ubungo Barabara ya Zege ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaj 500
Pia Zipo Daladala za Moja Kwa Moja Kariakoo
Price: 200,000 × 6
• Chumba cha kimoja cha Kulala Master Bedroom
• Public Toilet ya Wageni
• Jiko Zuri
• Heater
• Full A/c
Apartment Zipo Ndani Ya Fence Parking ipo Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS, Reserve Tank
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp