2 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani


STAND ALONE INAPANGISHWA
MAHAL KIBAHA TEMBONI
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM
KITCHEN WITH CABINET
PUBLIC TOILET
GARDEN NZURI SANA
CAR PARKING
NYUMBA IPO NDAN YA FENS
MAHALI SALAMA KABISA
MAJI NA UMEME UPO
KODI: 200000x6
Services charge 15000
NOTE : NDUGU MTEJA ZINGATIA HILI NYUMBA HII IPO UMBALI USIOPUNGUA KM 4 BARABARA YAKE NI NZURI INAFIKIKA MPKA NYUMBAN.