2 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani


APARTMENT 4TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIBAHA KWA MATIASI/KITUO MSIKITINI  DK 5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI..
--------
Vyumba 2  vya kulala kimoja master bedroom 
Seble kubwa sana 
Jiko kubwa la kisasa /makabati
Public toilet 
Heat/maji moto jikoni na chooni
Plate ya jiko la gesi
Slide window
Peving Block 
Garden nzur
Feni
Luku yako 
Tiles 
Gypsum 
Maji yana flow 
Ndani ya fence Zipo 4
Parking space kubwa sana 
--------
Service charge 20,000/=
---------
Kodi 400,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------



















