2 Bedrooms House for Rent at Kigogo, Dar Es Salaam
GOROFA 4
INA APAITMENT 16 ZA VYUMBA 2-2
ZILIZOKAMILIKA NI APAITMENT 2
CHINI KUNA MADUKA 4 YOTE YANA WAPANGAJI
KILA DUKA KODI 500,000 KWA MWEZI
ANAUZA KAMA LILIVYO
MMILIKI YUPO PAMOJA NA MKE WAKE NA WATOTO WAKE
GOROFA LIPO SEHEM NZURI SANA
KIGOGO ROUND ABOUT
UKIWA UNAELEKEA MABIBO KULIA KWAKO JIRANI NA SHEL MPYA
INA TITLE DID SQM 372.
HATI YA KARATASI MOJA YA KISASA.
NA KWA NYUMA KUNA GODOWN KUBWA
ALIIJENGA KAMA HOTEL ZA KISASA ZA APAITMENT ZA CHUMBA MASTER NA SEBULE ZIPO 16 JUMLA UKIONDOA HIYO FLOOR YA KWANZA.
BEI ML 800 NJOO
Contact call 0712531657
0789731695 WhatsApp