2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2  TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA  #KIMARA_MWISHO KM. 1 TUU KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BAJAJI NOHA TZS 700/= BODA BODA ELFU 1000 /= TUU. 
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER 
#SEBLE KUBWA SANA MNO YA KUJIACHIA
#JIKO KUBWA NZURI LA KISASA 
#CHOO CHA PUBLIC KIPO NJE KWA PEMBENI
#TILES SAFI
#SLAIDING WINDOWS 
#GYPSUM BORDER 
#PARKING SPACE IPO
#NDANI YA FENCE YA WAYA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 250,000 /=X"6"
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















