2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE MPYAA" YA AINA YAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE NI MSEREREKO KABISA
💥KODI YAKE 150K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
🏘️ STAND ALONE HII YA BEI NAFUU INA SIFA ZIFUATAZO
⚡ VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
⚡ SEBURE SAFI
⚡ PUBLIC TOILET OUT SIDE*
⚡ TILES/ GIPSUM
⚡ SLIDE WINDOW
⚡ UMEME METER YAKE
⚡ MAJI SAFI DAWASA YAPO KWA NJE HAPO.*
HAKUNA MASTER
HAKUNA JIKO
🏘️ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH 700/=
BODA BODA TSH 1,000
KIJUMBA HIKI HAKIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA*🏘️
SIMU 06 59 33 56 51 WAP 07 86 08 56 37