Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE MPYAA" YA AINA YAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE NI MSEREREKO KABISA
๐ฅKODI YAKE 150K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
๐๏ธ STAND ALONE HII YA BEI NAFUU INA SIFA ZIFUATAZO
โก VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
โก SEBURE SAFI
โก PUBLIC TOILET OUT SIDE*
โก TILES/ GIPSUM
โก SLIDE WINDOW
โก UMEME METER YAKE
โก MAJI SAFI DAWASA YAPO KWA NJE HAPO.*
HAKUNA MASTER
HAKUNA JIKO
๐๏ธ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH 700/=
BODA BODA TSH 1,000
KIJUMBA HIKI HAKIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA*๐๏ธ
SIMU 06 59 33 56 51 WAP 07 86 08 56 37