2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW NYUMBA ZIPO 2 TU MBALI MBALI ZINAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA KABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA 500/ TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
#0715949085
#0782838336