2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER
SEBLE NA. JIKO
MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
NYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWENYE. NYUMBA . HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA MAZINGIRA MAZURI USALAMA ASILIMIA MIA.
NYUMBA ITAKUWA WAZI TRH 30/1/2025.
KUANGALIA NA KULIPA LUKSA
ITAKAYOKUWA WAZI NI YA CHINI .
BEI 350,000/=X6
======
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONT
0683234424
0718367179