2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA HIZI INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 350,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1.6.2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
UMBALI KM 1.5
ZIPO NDANI YA FENS PARKING SPACE KUBWA SANA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA