2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI MAENEO YA BONYOKWA KWA MATONYA UMBALI WA KM  1 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
SIFA ZAKE -
Vyumba  2 vya kulala vyote master bedrooms 
Sebule kubwa 
Jiko la kisasa kubwa 
Public toilet za nje zipo.
Tails #####gypsum 
Rezev Simtank 
Madirisha Aluminium 
Umeme Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni mita inajitegemea 
Ulinzi na Usafi gharama za mwenye nyumba. 
Full paving block 
Parking space kubwa. 
-----
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
----------
Sina cheni biashara namaliza ukija na cheni utaivaa mwenyewe๐งโ๐
0679 956 863 
0759151524
0781 418 437




















