2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
💥 *KODI YAKE 250K X 6*
*ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.*
*#VYUMBA VIWILI VYA KULALA*
*# SEBURE KUBWA*
*KIMOJA MASTER
*# CHOO CHA PUBLIC NDANI
*#UMEME METER YAKE*
*#MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI*
*#HAKUNA JIKO 📌*
*#TILES*
*#GIPSUM*
*# SLIDE WINDOW*
🏘️ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA. TSH1000/=*
*"KUMBUKA" "NYUMBA HII IPO KWENYE FENCE, NA GARI UNALAZA NDANI USALAMA WA KUTOSHA* 🏘️
*SERVICE CHARGE 15K*
*MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA🇹🇿 🏘️*
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024