2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
UNAWEZA KUTEMBEA DAKIKA KUMI KWAMIGUU
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 400,000/=Γ 6
Umbali KM 1 barabara safi
ENEO kubwa Sana unaweza kulima au kufuga
Pembeni kuna servant corter ina mlinzi
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747