2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYAA KABISA HII INA PANGISHWA 350K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI NA NJEE
NYUMBA INAKUWA TIYALI KUANZIA TAREHE 1/1/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
KODI 350,000X6
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA WAYA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
USAFILI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
UMEME WAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE
15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
=====