2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
300,000 x6. 0759151524
INAWEZA KUSHUKA MBAKA 250,000 X6
FENSI YAKE HAILAZI GARI
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000/=×6
ZINGATIA
NYUMBA HAIPO WAZI ILA UKILIPIA UNASUBILIA SIKUMBILI
ILA KUANGALIA NDANI NA KUFANYA MALIPO LUKSA NA BEI USIOGOPE INAWEZA KUSHUKA MPAKA 250
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000