2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 180K X6 
ILIPWE LAKI MOJA NA THEMANINI MALIPO MIEZI SITA 
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNAINGIA NDANI 
SIFA ZAKE 
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
#KIMOJA MASTER 
#SEBULE 
#PUBLIC KWA NJE
#KIBARAZA KIKUBWA UNAWEZA FANYA KAMA JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA MAZURI YA WAVU YENYE HEWA SAFI NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA 
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0715949085
0782838336




















