2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA ZA KISASA KABISA ZIPO KIMARA TEMBONI DK6 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati (Open kitchen)
Public toilet
Maji yana flow
Cctv camera
Heater ya maji moto maji baridi
Electronic fence
Full air condition
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
------------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐