2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE. STAND ALONE
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 PKPK 1000 MPKA GETIN
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZA NYUMBA
===============
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA CHOO NDAN PUBLIC. aina master
.
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME WAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO PARKING SPACE SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT