2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom Seble
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Dinning room
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏