2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
*STAND ALONE MPYAA" YA AINA YAKE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
*KODI YAKE NI MSEREREKO KABISA*
๐ฅ *KODI YAKE 150K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA*๐
๐๏ธ *STAND ALONE HII YA BEI NAFUU INA SIFA ZIFUATAZO*
โก *VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA*
โก *SEBURE SAFI*
โก *PUBLIC TOILET OUT SIDE*
โก *TILES/ GIPSUM*
โก *SLIDE WINDOW*
โก *UMEME METER YAKE*
โก *MAJI SAFI DAWASA YAPO KWA NJE HAPO.*
โ *HAKUNA MASTER*โ
โ *HAKUNA JIKO*โ
๐๏ธ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1,000/=*
*KIJUMBA HIKI HAKIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA*๐๏ธ
๐๏ธ๐น๐ฟ *KARIBUNI SAANA*๐
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI