2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni.
- Vyumba viwili (master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
Kodi 300,000/=.
Kupelekwa 20,000/= itadumu mbaka utakapo pata nyumba.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.