2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
👌 Ni Appartment ya familia yenye
>Vyumba (2) vya kulala,Seble kubwa, jiko na public thoilet(nje na ndani).
>AC kubwa sebleni.
>AC ipo pia chumba cha MASTABEDROOM.
>Jiko lenye makabati ya vyombo.
>Choo cha pablic cha ndani na nje pia kipo
>Choo cha Masta ni cha kukaa
>Baraza nyuma na mbele ya nyumba.
>Makabati ya nguo yapo vyumba vyake vyote.
>Madirisha ni ya vioo + finishing ya kisasa kabisa! >Inajitegemea LUKU yake >Mita yake mwenyewe ya Dawasco.
>Parking ya kupaki gari 4
>Garden na maua nje
>Ulinzi wa USIKU ni bure
>CCTV camera 24hrs
>USAFI wa Nje ni bure kila siku
>Uzoaji wa taka ni bure
>Panafikika kirahisi dakika 5 kutoka lami
KODI
ni TSH 500,000/= kwa mwezi . Tunapokea MIEZI (6)
Itakua wazi kuanzia Juma mosi trh 11/01/25 🙏
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347