2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro







KODI NI Tsh. 350,000 X6 TU WAHI NYUMBA NZURI
PIGA SIMU 0755
šLOCATION: NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UMBALI WA MITA MIA NANE KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO UMBALI WA KUTEMBEA TU KWA MIGUU UNATUMIA DAKIKA 10
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
āļø UMEME LUKU YAKO
āļø MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
āļø WATER RESERVE TANKS
āļø NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
āļø PARKING SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IPO WAZI TAYARI
# SERVICE CHARGE NI 15,000\/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347