2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
====
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1, TUU
BODA. 1000/=
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
ZIPO TATU KWENYE FENSI
KODI. 350,000/=X3 AU 6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
======
Cont
0683234124
0718367179