2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







BANGALOO KUBWA ZURI SANA
LENYE HATI MMILIKI
LINAUZWA
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI
BEI YAKE NI MILIONI 370M MAONGEZI YAPO
๐ฅ NYUMBA HII KUBWA YA KISASA INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOMS KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 370M MAONGEZI YAPO
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI LUISI MAGUFULI BUS TERMINAL
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
๐ฅ GHARAMA ZA KUPELEKWA KUKAGUA NYUMBA ( SERVICE CHARGE )15K
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363