Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







BANGALOO KUBWA ZURI SANA
LENYE HATI MMILIKI 
LINAUZWA 
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI 
BEI YAKE NI MILIONI 370M MAONGEZI YAPO 
💥 NYUMBA HII KUBWA YA KISASA INA SIFA ZIFUATAZO 
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOMS KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 370M  MAONGEZI YAPO
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI LUISI MAGUFULI BUS TERMINAL 
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA 
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI 
💥 GHARAMA ZA KUPELEKWA KUKAGUA NYUMBA ( SERVICE CHARGE )15K 
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363



















