2 Bedrooms House for Rent at Salama, Mara







#NEW APARTMENT KALI SANA BEI 350k ZIPO 2 TU NDANI YA FENSI
LOCATION #UBUNGO_MAKOKA DK 6 KWA MGUU HADI 7
SIFA ZA NYUMBA ๐
#INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBRE KUBWA
#JIKO LITAJENGWA ENDAPO UTALIPIA KODI
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFROO SAA24
#MADILISHA KIOO
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPECE KUBWA
#PEVING BLOCK SAFI
#BEI 350k x6
PIGA CM NDUGU MTEJA WANGU UJE UKAE SAHEM SALAMA NA UTURIVU MZURI NO KIPENGELE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI