House for sale at Salama, Mara


🏡 ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE – LINAUZWA SASA!
Ukubwa wa Kiwanja: 12,140.57 sqm (Hekari 3)
Fursa ya kipekee ya kumiliki eneo kubwa lenye nyumba na apartments za kisasa katika Kimara Korogwe – Kilingule, eneo linalotajwa kwa utulivu, usalama, na ukuaji wa kasi.
🌍 MAELEZO YA ENEO
✔ Lipo Kimara Korogwe – Kilingule
✔ Umbali: Takribani 1.5 km kutoka Kituo cha Mwendo Kasi (BRT Stand)
✔ Barabara inafikika kirahisi muda wote
✔ Miundombinu ipo – maji, umeme, mtandao
✔ Mazingira salama, tulivu na yanayofaa makazi au uwekezaji
🏘️ NYUMBA NA APARTMENTS ZILIZOPO
✔ Nyumba kadhaa zimekamilika na tayari zina wapangaji
✔ Apartments zingine zimebakisha finishing ndogo ndogo (rangi, fittings n.k.)
✔ Ujenzi wa msingi, paa, kuta, umeme & maji umekamilika
✔ Sebule kubwa, vyumba vya kisasa, tiles, vyoo vya kiwango cha juu
💼 FAIDA KWA MNUNUZI
✔ Uwekezaji tayari unatoa kipato (wapangaji wapo)
✔ Fursa ya kukamilisha finishing kwa ladha yako
✔ Eneo kubwa linaloruhusu upanuzi au miradi mikubwa
✔ Thamani ya ardhi na majengo inaongezeka kila mwaka
🚗 GHARAMA YA KWENDA KUONA ENEO
🔹 Tsh 30,000 kwa site visit (kuona eneo, nyumba na apartments zilizopo)
📞 Wasiliana / Piga: 0740 747 383
➡ Chukua hatua sasa – fursa kama hii ya Kimara Korogwe haiji mara mbili!


















