2 Bedrooms House for Rent at Segerea, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki. . (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Full A/C
- Mafeni
- Water reserve tank
- Fence
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.