2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


HII NI MPYA KABISA
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO PUBLIC
KODI 250,000 MIEZ 6
LOCATION TABATA BONYOKWA MWISHO
DAKIKA 10 KWA MGUU KUTOKA STANDI HADI KWENYE NYUMBA
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA HAINA FENCE ILA USALAMA WAKUTOSHA
GARI INAFIKA MPAKA KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE TSH 20,000/= KUJA KUONA NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA TU
MUHITAJI PIGA 0688 412 890.