2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 400K X6 NJOO MAONGEZI KIDOGO YA KODI YAPO HAPA
NYUMBA HII NZURI YA KISASA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIFA ZAKE
*VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
*SEBULE
*JIKO
*PUBLIC TOILET YA NJE
NDANI YA FENSI ZIPO APARTMENT MBILI TU NA ZOTE ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI FULL GARDEN
ITAKUWA TEARI KUAMIA TAREHE 10.12.2024