2 Bedrooms House for sale at Mkuranga, Pwani


Shamba LINAPATIKANA MKURANGA, KM 3 kutoka MKURANGA MJINI..
Shamba lina HEKA 2
Ndani lina sehemu ya kukusanyia maji( tenki limejengewa)
Nyumba ya vyumba viwili
Minazi michache
Miembe
Mto mdogo ambao unapata maji muda wote
SHAMBA LIPO MITA 200 kutoka lami( unatembemea kwa mguu dakika 2 kutoka barabarani)
Bei TSH 10,000,000 kwa heka jumla lina HEKA 2 (MAONGEZI YAPO)
Kutembelea shamba nipigie 0785367831 au WHATSAPP 0769355987
Gharama ya kutembelea shamba Tsh 30,000
KARIBU SANA