Plot for sale at Mkuranga, Pwani


WALE WATEJA MNANITUMIA MSG MNATAKA MASHAMBA KARIBU YA BARABARA YA LAMI…HAPA VIPI…
SHAMBA HILI LINAPATIKANA KIPARANG’ANDA MKURANGA
MITA 700 KUTOKA LAMI
MALI ZINAZOPATIKANA SHAMBANI
VISIMA VIWILI CHA MASHINE NA VISIMA VYA KUCHIMBA NA MIKONO
MNARA WA TENKI
BANDA LA KUKU
NYUMBA YA MLINZI WA SHAMBA
MINAZI MINGI
BEI TSH 7,000,000 KWA HEKA JUMLA LINA HEKA TATU NA ZINAUZWA ZOTE SO LINAHITAJI TSH 21,000,000 (maongezi yapo)
KUTEMBELEA SITE PIGA SIMU WEKA APPOINTMENT KUPITIA NAMBA 0785367831 au WHATSAPP 0769355987
GHARAMA YA SITE VISIT NI TSH 30,000 TU
KARIBU SANA
#mashamba #viwanjakisemvule #viwanjavikindu