2 Bedrooms House for sale at Mlandizi, Pwani
*NYUMBA INAUZWA Tsh ml 18
MAHALI: Mlandizi (Msongola), dkk 10 kwa boda/Gari kutoka Stend.
*_Ipo katika hatua ya finishing kama inavyoonekana kwenye picha_*
_Details_
1. Vyumba viwili
2. Seble
3. Vyoo viwili ndani.
4. Jiko.
5. Dining.
6. Ina fence.
7. Karo la choo limejengwa tayari.
Kiwanja chake ni kidogo, nyumba na fence vimemaliza kiwanja chote (Hatua 15 kwa 12), huduma za maji na umeme ni za kuvuta kutoka kwa majirani.
Umbali ni km 3 kutoka Morogoro road
Price ml 18
0764901387
0617850565