2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🌟🌟APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 450,000/=X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 18/09/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167