2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168