2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA SANA NI π₯ INAPANGISHWA NA IPO MTAA MZURI SANA APARTMENT π₯π₯
BEI NI 1,000,000/= X 6
ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/02/2025
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA YAANI NI π₯
#PUBLIC TOILET
#AIR CONDITION
#HEATER
#FREE Wi-Fi
#ULINZI NI BURE NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE FULL SECURITY (24 HOURS)
#GARDEN
BEI NI 1,000,000/= X 6
ILIPWE MILIONI MOJA KWA MWEZI
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA