2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KONK SANA INAPANGISHWA KODI TSH 400,000X6
KIMARA SUKA YENYE SIFA ZIFUATAZO ๐๐๐
VYUMBA 2 KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE KUBWA,
JIKO LA KISASA NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI
APARTMENT ZIKO 4 NDANI YA COMPOUND 1
UMEME NA MAJI LUKU YAKO
Reserve water tank ltr 5000 kwa wote na ltr 1000 kwa kila nyumba
APARTMENT INA FULL AC,FULL SECURITY NA KUNA WF KWA MATUMIZI YA WAPANGAJI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 2.5
KODI LAKI 400,000X6