2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA STOP OVER
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 15 KWA MIGUU
HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI
A:
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350,000 X 4
B:CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO
KODI 280,000 X 3
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM # 0674860193