2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA
*SEBULE KUBWA
*VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
*CHUMBA KIMOJA MASTER
*JIKO KUBWA
*PUBLIC TOILET
*TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
*PAVING BLOCKS
*NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
*PARKING KUBWA
*LUKU INAJITEGEMEA
*MAJI DAWASA NDANI
LOCATION: KIMARA KOROGWE
DAKIKA 4-5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
KOI 450,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp