2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 Γ 5,6) πππ ππ₯π π§ππ ππ’π‘π
Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani
Ipo ndani ya fensi parking space ipo, umeme na maji inajitegemea.
π πππππ ππππ£π’: KIMARA TEMBONI
Umbali ni dk 20 kutembea kwa miguu kutoka morogoro road. Barabara ni rafiki kwa gari aina zote
Bodaboda 1000
πππ π¬πππ: Laki tatu tu (3000,000/- Tshs) Γ Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya DALALI
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp