Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 ร 5,6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani
Ipo ndani ya fensi parking space ipo, umeme na maji inajitegemea.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA TEMBONI
Umbali ni dk 20 kutembea kwa miguu kutoka morogoro road. Barabara ni rafiki kwa gari aina zote
Bodaboda 1000
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki tatu tu (3000,000/- Tshs) ร Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya DALALI
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp