2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI 200,000X6
UMBALI KM 1,5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000 HADI KWENYE NYUMBA
SIFA ZAKE
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA AINA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA JIKO NZURI SANA
TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637