2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT ###500 /450 PER MONTH.
---------------------
APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA ZIMEBAKI APARTMENT 5 TU NDUGU MTEJA.

---------

ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 TU , KWA BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS TERMINAL.

------

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOMS
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LA KISASA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
MITA INAJITEGEMEA
REZEV SIMTANK
FULL PAVING
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA

----

HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO 👇

A ) GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI

B ) ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=
KWA MWEZI

----
Nb= HII KODI IMEJUMRISHWA PAMOJA NA HELA YA MAJI TAKA, USAFI NA ULINZI.

KODI NI MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

------------
KARIBUNI WATEJA WETU ( KODI NI MIEZI SITA TU CHINI YA HAPO HAKUNA )
0710614924
0688653940

MBEZIBEACH GOBA MWENGE SINZA MASAKI MSASANI
damalo_dalali_kimara_ubung_mbz
MBEZIBEACH GOBA MWENGE SINZA MASAKI MSASANI

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

(160,000X4)KIMARA BUCHA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA ➖➖➖➖➖➖➖HIZI APARTMENT ZI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200kVyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebul...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMETA.1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA WAPANGAJI 2 TU HII NDIO NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA #BEI 60...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Ro...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200kVyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebul...

1 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

CHUMBA MASTA.===Chumba kimoja masta ===Bei:150,000× 6===Umbali Dk 8 kutembea Kimara Bucha===Nyumba i...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

(120,000X6)KIMARA KOROGWE KWA MKUWA➖➖➖➖➖➖➖➖ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI MALIPO YA MIEZI SITA SIFA ZA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)KIMARA TEMBONI ➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO IN...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NDUGU ZANGU HII APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA ____________________________________________...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

0679 997610 APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO INA VYUMBA VIWILI VYA KU...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA KOROGWE AU KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

350,000 x6. APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=X 6🌟🌟APARTMENT HII INA SIF...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 SIFA ZAKE:V...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA ...