2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
SIFA
VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER BEDROOM)
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
CCTV CAMERA
PARKING KUBWA
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
GARDEN
BEI
TSH. 600,000/= KWA MWEZI ,ILIPWE MIEZI 6 NA KUENDELEA
LOCATION
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. USAFIRI NI BAJAJI SH 50O
SERVICE CHARGE MUST BE APPLICABLE
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177