2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI SANA INAPANGISHWA BEI 450,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 (200,000/= )
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/02/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA UNAONA VYUMBA VYOTE BILA SHIDA NDUGU MTEJA
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA NA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#ULINZI UPO MASAA 24 ( 24 HOURS) GARAMA YAKE NI ELFU 20 KWA MWEZI + USAFI WA MAZINGIRA UMEJUMUISHWA NA ULINZI
KODI YA NYUMBA KWA MWEZI NI 450,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.