2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MPANGAJI AMEPATA UHAMISHO KIKAZI RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE 01/4/2025.
IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
SIFA ZAKE
Vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Public toilet
Jiko zuri
Tails
Gypsum
Public toilet ya nje
Rezev Simtank
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Full paving block
Electrical Security
Ndani ya fensi parking space ipo.
Kodi ni laki 450,000 x6
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
NB =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO , NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE 01/4/2025 , RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
simu 0659336751 wsp 0786085637