2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA IPOWAZI
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
โผ๏ธ KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2๐ BAJAJI 700 ๐BODABODA1000
๐๐ SERVICE CHARGE NI SHILINGI ELFU 15 TUU NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI YA DALALI SHILINGI LAKI 2 NA NUSU
SIMU
0712656027