2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







IPO WAZI SASA MPANGAJI KASHAHAMA.
--------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI UMBALI USAFIRI BODABODA NI ELFU MOJA NA BAJAJI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 2.
APARTMENT YA =
Vyumba 2 vya kulala
Vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Stoo kubwa
Tails & gypsum
Rezev Simtank
Choo cha wageni nje
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Ndani ya fensi Peving Parking space kubwa
-----
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
Iliokua wazii nyumba ya chinii
###0655256419