2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
0655256419